Genesis 3:4-5

4 aLakini nyoka akamwambia mwanamke, “Hakika hamtakufa. 5 bKwa maana Mungu anajua ya kuwa wakati mtakapoyala, macho yenu yatafumbuliwa, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya.”

Copyright information for SwhKC